LUIS:KUONDOKA KWA MAGUFULI HASARA KWA AFRIKA

 


KUTOKANA na kifo cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli kilichotangwazwa na Makamu wa Rais, Samia Suluhu Machi 17, kiungo wa Simba Luis Miquissone amesema kuwa ni hasara kwa Arika na Dunia kiujumla.


Kiungo huyo raia wa Msumbuji amesema kuwa ni wakati mgumu ambao Watanzania wanapitia kwa sasa. 

Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika:"Hasara kubwa kwa watu wa Tanzania, Afrika na ulimwengu wote. Mungu aipe familia na watu wa Tanzania nguvu wakati huu mgumu," ,

Comments

Popular posts from this blog

MFARANSA WA SIMBA AFICHUA KINACHOWABEBA KIMATAIFA

FIFA YAMLILIA RAIS MAGUFULI

MSUVA AITAMANI SIMBA ROBO FAINALI CAF